Kisha akamwangalia Amaleki, akatunga mithali yake, akasema,Amaleki alikuwa ni wa kwanza wa mataifa;Lakini mwisho wake atafikilia uharibifu.