Hes. 14:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Mkutano wote wakapaza sauti zao wakalia; watu wakatoka machozi usiku ule.

2. Kisha wana wa Israeli wote wakamnung’unikia Musa na Haruni; mkutano wote wakawaambia, Ingekuwa heri kama tungalikufa katika nchi ya Misri, au, ingekuwa heri kama tungalikufa katika jangwa hili.

Hes. 14