Ezr. 2:35-37 Swahili Union Version (SUV)

35. Watu wa Senaa, elfu tatu mia sita na thelathini.

36. Makuhani; wana wa Yedaya, wa mbari ya Yeshua, mia kenda sabini na watatu.

37. Wana wa Imeri, elfu moja hamsini na wawili.

Ezr. 2