Ezr. 2:16-19 Swahili Union Version (SUV)

16. Wana wa Ateri, wa wana wa Hezekia, tisini na wanane.

17. Wana wa Besai, mia tatu ishirini na watatu.

18. Wana wa Harifu, mia moja na kumi na wawili.

19. Wana wa Hashumu, mia mbili ishirini na watatu.

Ezr. 2