Ezr. 2:14-17 Swahili Union Version (SUV)

14. Wana wa Bigwai, elfu mbili hamsini na sita.

15. Wana wa Adini, mia nne hamsini na wanne.

16. Wana wa Ateri, wa wana wa Hezekia, tisini na wanane.

17. Wana wa Besai, mia tatu ishirini na watatu.

Ezr. 2