Efe. 5:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Hivyo mfuateni Mungu, kama watoto wanaopendwa;

2. mkaenende katika upendo, kama Kristo naye alivyowapenda ninyi tena akajitoa kwa ajili yetu, sadaka na dhabihu kwa Mungu, kuwa harufu ya manukato.

Efe. 5