Dan. 1:20-21 Swahili Union Version (SUV)

20. Na katika kila jambo la hekima na ufahamu alilowauliza mfalme, akawaona kuwa walifaa mara kumi zaidi ya waganga na wachawi waliokuwa katika ufalme wake.

21. Tena, Danieli huyo akadumu huko hata mwaka wa kwanza wa mfalme Koreshi.

Dan. 1