Ayu. 9:1-2 Swahili Union Version (SUV) Ndipo Ayubu akajibu, na kusema, Kweli najua kuwa ndivyo hivyo;Lakini mtu huwaje mwenye haki mbele za Mungu?