Ukiwa wewe u safi na mwelekevu;Hakika yeye sasa angeamka kwa ajili yako,Na kuyafanya makazi ya haki yako kufanikiwa.