Ayu. 8:15-17 Swahili Union Version (SUV)

15. Ataitegemea nyumba yake, isisimame;Atashikamana nayo, isidumu.

16. Yeye huwa mti mbichi mbele ya jua,Nayo machipukizi yake huenea katika bustani yake.

17. Mizizi yake huzonga-zonga chuguu,Huangalia mahali penye mawe.

Ayu. 8