Kwamba nimefanya dhambi, nikufanyieje Ee mlinda wanadamu?Mbona umeniweka niwe shabaha yako,Hata nimekuwa mzigo kwa nafsi yangu?