Ayu. 4:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. Ndipo huyo Elifazi, Mtemani, akajibu na kusema,

2. Mtu akijaribu kuzungumza nawe, je! Utaona ni vibaya?Lakini ni nani awezaye kujizuia asinene?

3. Tazama, wewe umewafunza watu wengi,Nawe umeitia nguvu mikono iliyokuwa minyonge.

Ayu. 4