yeye Mwenyezi hamwezi kumwona;Yeye ni mkuu mwenye uweza;Tena mwenye hukumu, na mwingi wa haki, hataonea.