Ayu. 36:28-30 Swahili Union Version (SUV)

28. Ambayo mawingu yainyeshaNa kudondoza juu ya wanadamu kwa wingi.

29. Naam, mtu aweza kuelewa na matandazo ya mawingu,Ngurumo za makao yake?

30. Tazama, yeye huutandaza mwanga wake, umzunguke;Naye hufunika vilindi vya bahari.

Ayu. 36