Ayu. 3:16-18 Swahili Union Version (SUV)

16. Au, kama kuzikwa mimba iliyoharibika, nisingekuwako;Kama wachanga wasiouona mwanga kabisa.

17. Huko waovu huacha kusumbua;Huko nako hao waliochoka wapumzika

18. Huko wafungwa waona raha pamoja;Hawaisikii sauti yake msimamizi.

Ayu. 3