Niliwachagulia njia, nikakaa kama mkuu wao.Nikakaa kama mfalme katika jeshi la askari,Mfano wa awafarijiye hao waombolezao.