Ayu. 29:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. Kisha Ayubu akaendelea na mithali yake, na kusema,

2. Laiti ningekuwa kama nilivyokuwa katika miezi ya kale,Kama katika siku hizo Mungu aliponilinda;

3. Hapo taa yake ilipomulika juu yangu kichwani,Nami nilitembea gizani kwa njia ya mwanga wake;

Ayu. 29