Ayu. 27:3-5 Swahili Union Version (SUV)

3. (Kwa kuwa uhai wangu ukali mzima ndani yangu,Na roho ya Mungu i katika pua yangu;)

4. Hakika midomo yangu haitanena yasiyo haki,Wala ulimi wangu hautatamka udanganyifu.

5. Hasha! Nisiwahesabie ninyi kuwa na haki;Hata nitakapokufa sitajiondolea uelekevu wangu.

Ayu. 27