Ayu. 27:21-23 Swahili Union Version (SUV)

21. Upepo wa mashariki humchukua, naye huondoka;Na kumkumba atoke mahali pake.

22. Kwani Mungu atamtupia asimhurumie;Angependa kuukimbia mkono wake.

23. Watu watampigia makofi,Na kumzomea atoke mahali pake.

Ayu. 27