14. Watoto wake wakiongezeka ni kwa upanga;Na wazao wake hawatashiba chakula.
15. Hao watakaosalia kwake watazikwa katika kufa,Wala wajane wake waliofiwa na waume hawataomboleza.
16. Ajapokusanya fedha kama mavumbi,Na kujifanyia mavazi kama udongo kwa wingi;
17. Yumkini kuyatengeza, lakini wenye haki watayavaa,Nao wasio na hatia watazigawanya hizo fedha.