Ayu. 26:12-14 Swahili Union Version (SUV)

12. Huichafua bahari kwa uwezo wake,Na kumtema Rahabu kwa akili zake.

13. Hizo mbingu hupambwa kwa roho yake;Mkono wake umemchoma nyoka aendaye mbio.

14. Tazama, hivi ni viunga tu vya njia zake;Na jinsi yalivyo madogo manong’ono tusikiayo katika habari zake!Lakini ngurumo za uweza wake ni nani awezaye kuelewa nazo?

Ayu. 26