Ayu. 25:4-6 Swahili Union Version (SUV)

4. Basi mtu awezaje kuwa na haki mbele ya Mungu?Au awezaje kuwa safi aliyezaliwa na mwanamke?

5. Tazama, hata mwezi hauangazi,Wala nyota si safi machoni pake;

6. Siuze mtu, aliye mdudu!Na mwanadamu, ambaye ni buu!

Ayu. 25