Ayu. 25:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. Ndipo Bildadi, Mshuhi, akajibu, na kusema,

2. Enzi na hofu zi pamoja naye;Hufanya amani katika mahali pake palipoinuka.

3. Je! Majeshi yake yahesabika?Ni nani asiyetokewa na mwanga wake?

Ayu. 25