Ayu. 23:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. Ndipo Ayubu akajibu, na kusema,

2. Hata leo mashitaka yangu yana uchungu;Pigo langu ni zito zaidi ya kuugua kwangu.

3. Laiti ningejua mahali niwezapo kumwona,Nifike hata hapo anapokaa!

Ayu. 23