Udongo wa bondeni utakuwa tamu kwake,Na watu wote watafuata nyuma yake,Kama vile walivyomtangulia watu wasiohesabika.