Ayu. 20:27-29 Swahili Union Version (SUV)

27. Mbingu zitafunua wazi uovu wake,Nayo nchi itainuka kinyume chake.

28. Maongeo ya nyumba yake yataondoka,Yatamwagika mbali katika siku ya ghadhabu zake.

29. Hii ndiyo sehemu ya mtu mwovu itokayo kwa Mungu,Na urithi aliowekewa na Mungu.

Ayu. 20