Ayu. 20:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Ndipo Sofari, Mnaamathi, akajibu, na kusema,

2. Kwa hiyo mawazo yangu hunipa jawabu,Kwa ajili ya haraka niliyo nayo ndani yangu.

Ayu. 20