Ayu. 18:1-4 Swahili Union Version (SUV)

1. Ndipo Bildadi, Mshuhi, akajibu, na kusema,

2. Je! Hata lini utayategea maneno mitambo?Fikiri, kisha baadaye tutanena.

3. Twahesabiwa kuwa wanyama kwa sababu gani,Tena kuwa wanajisi machoni pako?

4. Wewe ujiraruaye mwenyewe katika hasira yako,Je! Dunia itaachwa kwa ajili yako wewe?Au jabali litaondolewa mahali pake?

Ayu. 18