Ayu. 15:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. Ndipo Elifazi, Mtemani, akajibu, na kusema,

2. Je! Yapasa mtu mwenye hekima kujibu kwa ujuzi wa uvuvio,Na kujaza tumbo lake na upepo wa mashariki?

3. Je! Ahoji na mazungumzo yasiyo faida,Au kwa maneno ambayo hawezi kufanya mema kwayo?

Ayu. 15