Ayu. 12:13-15 Swahili Union Version (SUV)

13. Hekima na amri zina yeye [Mungu];Yeye anayo mashauri na fahamu.

14. Tazama, yuavunja, wala haiwezekani kujenga tena;Humfunga mtu, wala haiwezekani kumfungua.

15. Tazama, yuayazuia maji, nayo yakatika;Tena, huyapeleka, nayo yaipindua dunia.

Ayu. 12