Amu. 5:30 Swahili Union Version (SUV)

Je! Hawakupata mateka na kuyagawanya,Kijakazi, vijakazi wawili, kwa kila mtu?Kwa Sisera nyara ya mavazi ya rangi mbali mbali,Nyara za mavazi ya rangi mbali mbali ya darizi;Ya rangi mbali mbali ya darizi, pande zote mbili,Juu ya shingo za hao mateka.

Amu. 5

Amu. 5:25-31