Gileadi alikaa ng’ambo ya Yordani,Na Dani, mbona alikaa katika merikebu?Asheri alikaa kimya penye bandari ya bahari,Alikaa katika hori zake.