Amu. 16:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Samsoni akaenda Gaza, akaona huko mwanamke kahaba, akaingia kwake.

2. Watu wa Gaza wakaambiwa, ya kwamba, huyo Samsoni amekuja huku. Wakamzingira, wakamvizia usiku kucha, penye lango la mji, wakanyamaza kimya usiku kucha, wakisema, Na tungoje mpaka mapambazuko, ndipo tutamwua.

Amu. 16