Amo. 5:6 Swahili Union Version (SUV)

Mtafuteni BWANA, nanyi mtaishi; asije akawaka kama moto katika nyumba ya Yusufu, nao ukateketeza, asiwepo mtu awezaye kuuzima katika Betheli.

Amo. 5

Amo. 5:1-16