Amo. 2:15-16 Swahili Union Version (SUV) Wala apindaye upinde hatasimama;Wala aliye mwepesi wa miguu hataokoka;Wala apandaye farasi hatajiokoa nafsi yake;