2 Pet. 2:11 Swahili Union Version (SUV)

Wenye ushupavu, wenye kujikinai, hawatetemeki wakiyatukana matukufu; ijapokuwa malaika ambao ni wakuu zaidi kwa uwezo na nguvu, hawaleti mashitaka mabaya juu yao mbele za Bwana.

2 Pet. 2

2 Pet. 2:9-16