2 Nya. 34:14 Swahili Union Version (SUV)

Nao walipotoa ile fedha iliyoletwa nyumbani mwa BWANA, Hilkia kuhani akakiona kitabu cha torati ya BWANA iliyotolewa kwa mkono wa Musa.

2 Nya. 34

2 Nya. 34:7-22