2 Nya. 31:21 Swahili Union Version (SUV)

Na katika kila kazi aliyoanza kwa utumishi wa nyumba ya Mungu, na kwa torati, na kwa amri, ili kumtafuta Mungu wake, aliifanya kwa moyo wake wote, akafanikiwa.

2 Nya. 31

2 Nya. 31:20-21