2 Kor. 2:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Lakini nafsini mwangu nalikusudia hivi, nisije kwenu tena kwa huzuni.

2. Maana mimi nikiwatia huzuni, basi ni nani anifurahishaye mimi ila yeye ahuzunishwaye nami?

2 Kor. 2