2 Fal. 20:17 Swahili Union Version (SUV)

Angalia, siku zinakuja, ambazo vitu vyote vilivyomo nyumbani mwako, na hivyo vilivyowekwa akiba na baba zako hata leo, vitachukuliwa mpaka Babeli; hakitasalia kitu, asema BWANA.

2 Fal. 20

2 Fal. 20:12-21