2 Fal. 20:1 Swahili Union Version (SUV)

Siku hizo Hezekia akaugua, akawa katika hatari ya kufa. Isaya, nabii, mwana wa Amozi, akamjia akamwambia, BWANA asema hivi, Tengeza mambo ya nyumba yako; maana utakufa, wala hutapona.

2 Fal. 20

2 Fal. 20:1-10