1 Tim. 2:9 Swahili Union Version (SUV)

Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani;

1 Tim. 2

1 Tim. 2:1-15