1 Pet. 4:1 Swahili Union Version (SUV)

Basi kwa kuwa Kristo aliteswa katika mwili wake, ninyi nanyi jivikeni silaha ya nia ile ile; kwa maana yeye aliyeteswa katika mwili ameachana na dhambi.

1 Pet. 4

1 Pet. 4:1-8