1 Nya. 8:19-24 Swahili Union Version (SUV)

19. Na Yakimu, na Zikri, na Zabdi;

20. na Elienai, na Silethai, na Elieli;

21. na Adaya, na Beraya, na Shimrathi; walikuwa wana wa Shema.

22. Na Ishpani, na Eberi, na Elieli;

23. na Abdoni, na Zikri, na Hanani;

24. na Hanania, na Elamu, na Anthothiya;

1 Nya. 8