1 Nya. 6:80-81 Swahili Union Version (SUV)

80. na katika kabila ya Gadi; Ramothi katika Gileadi pamoja na viunga vyake, na Mahanaimu pamoja na viunga vyake;

81. na Heshboni pamoja na viunga vyake, na Yazeri pamoja na viunga vyake.

1 Nya. 6