1 Nya. 6:78-81 Swahili Union Version (SUV)

78. na ng’ambo ya mto wa Yordani huko Yeriko, upande wa mashariki wa Yordani, katika kabila ya Reubeni; Bezeri katika nyika pamoja na viunga vyake, na Yahasa pamoja na viunga vyake,

79. na Kedemothi pamoja na viunga vyake, na Mefaathi pamoja na viunga vyake;

80. na katika kabila ya Gadi; Ramothi katika Gileadi pamoja na viunga vyake, na Mahanaimu pamoja na viunga vyake;

81. na Heshboni pamoja na viunga vyake, na Yazeri pamoja na viunga vyake.

1 Nya. 6