1 Nya. 4:12-15 Swahili Union Version (SUV)

12. Na Eshtoni akamzaa Beth-Rafa, na Pasea, na Tehina, babaye Ir-nahashi. Hao ni watu wa Reka.

13. Na wana wa Kenazi; Othnieli, na Seraya; na wana wa Othnieli; Hathathi.

14. Na Meonothai akamzaa Ofra; na Seraya akamzaa Yoabu, babaye bonde la Wakarashi; kwani hao walikuwa mafundi.

15. Na wana wa Kalebu, mwana wa Yefune; Iru, na Ela, na Naamu; na wana wa Ela; na Kenazi.

1 Nya. 4