1 Nya. 25:27-31 Swahili Union Version (SUV)

27. ya ishirini Eliatha, wanawe na nduguze, kumi na wawili;

28. ya ishirini na moja Hothiri, wanawe na nduguze, kumi na wawili;

29. ya ishirini na mbili Gidalti, wanawe na nduguze, kumi na wawili;

30. ya ishirini na tatu Mahaziothi, wanawe na nduguze, kumi na wawili;

31. ya ishirini na nne Romanti-ezeri, wanawe na nduguze, kumi na wawili.

1 Nya. 25