1 Nya. 25:16-21 Swahili Union Version (SUV)

16. ya kenda Matania wanawe na nduguze, kumi na wawili;

17. ya kumi Shimei, wanawe na nduguze, kumi na wawili;

18. ya kumi na moja Uzieli, wanawe na nduguze, kumi na wawili;

19. ya kumi na mbili Hashabia, wanawe na nduguze, kumi na wawili;

20. ya kumi na tatu Shebueli, wanawe na nduguze, kumi na wawili;

21. ya kumi na nne Matithia, wanawe na nduguze, kumi na wawili;

1 Nya. 25