1 Nya. 23:28 Swahili Union Version (SUV)

Kwani kazi yao ilikuwa kuwangojea wana wa Haruni katika utumishi wa nyumba ya BWANA, nyuani, na vyumbani, na kwa kuvisafisha vitakatifu vyote, ndiyo kazi ya utumishi wa nyumba ya Mungu;

1 Nya. 23

1 Nya. 23:19-32